JE WAJUA MVUTANO UNAENDELEA PALE JERUSALEM KUHUSU PALESTINA VS ISRAEL?

PALE MASJID AQSWA PALE


Mwaka 1967, Jordan na Israel zilikubaliana kwamba Waislamu watadhibiti eneo la ndani la msikiti huo na ukarabati wake , huku Israel ikidhibiti usalama wa nje wa al-Aqsa.


Wasio Waislamu huruhusiwa kutembelea eneo hilo kwa saa kadhaa lakini hawaruhusiwi kufanya ibada ndani yake.


Lakini mashirika yanayopigania eneo hilo kuwa hekalu la Wayahudi , kama vile hekalu la Mount faithful na lile la hekalu la Institute, wamekuwa wakishinikiza serikali ya Israel kuwaruhusu Wayahudi kuingia katika jumba hilo na wanataka hekalu la tatu kujengwa katika eneo hilo.


Mwaka 2000, waziri mkuu Ariel Sharon aliingia katika eneo la msikiti huo na maafisa 1000 wa polisi.

Kuingia kwa Sharon kulisababisha vifo vya zaidi ya Wapalestina *3000* na Waisraeli *1000* .


Israel imeweka vikwazo kadhaa karibu la lango la msikiti wa al-Aqsa , ikiwemo ukuta uliowekwa mwaka 2000, unaowazuia Wapalestina kutoka West bank kuingia.


Kati ya Wapalestina milioni 3 katika eneo la West Bank ni wale walio zaidi ya umri wa miaka 40 wanaoruhusiwa kuingia Jerusalem siku ya Ijumaa huku wengine wakipatiwa sharti la kuwasilisha ombi la kibali kutoka kwa mamlaka ya Israel.


DR DHAAKIRIIN