IJTEMAA YA ARUA ZONE UGANDA DECEMBER
No Image

Arua ni moja katika zone zilizoko kaskazini magharibi mwa UGANDA.

UGANDA Wana zone tano kijuhudi nazo ni.


1)ARUA ZONE

2)MBALE ZONE

3)JINJA ZONE

4)KAMPALA ZONE

5)MASAKA ZONE


Hivyo nchi zote za Africa mashariki na kati zina alikwa kuhudhuria ijtemaa hii itakayofanyika tarehe:


14/15/16 DECEMBER 2023


Muambie mwenzako amuambie mwenzake na twende na makundi yetu mengi in shaa Allah.